Thursday, 3 April 2014

MWANAMITINDO WA WIKI


Duniani kuna mengi kila uchao mamboyanabadilika unachokiona  kibayawewe mwezio kwake ni dhahabu 

 
mwanamitindo wa wiki
BIBI HARUSI WA KENYA MOMBASA

WANAJESHI WAUWAWA MAREKANI



baadhi ya wanajeshi wa USA
Jenerali Mark Milley, amesema mwanajeshi mmoja ndiye aliyewafyetulia wenzake risasi hizo karibu na zahanati ya afya ya kijeshi ya Carl R Darnall iliyoko katika kambi hiyo ya Jeshi.

Watu watatu walifariki kabla ya mwanajeshi huyo kujipiga risasi na kujiua.

Wanajeshi wapato wanne wanatibiwa majeraha mabaya ya risasi.

Daktari mkuu wa zahanati hiyo Dakta Glen Couchman anaelezea majeraha wanayotibu.

''Wote walikuwa na majereha mbalimbali ya risasi kwenye vifua shingo na tumbo''.

Mauaji katika kambi ya Jeshi Marekani

Waziri wa usalama Chuck Hagel amesema kuwa uchunguzi tayari umeshaanza kubaini chanzo cha kisa hicho cha pili kuikumba kambi hii.'

Rais Obama amehuzunishwa sana na tukio hilo ambalo anasema limetokea katika kambi ambayo inapaswa kuwa salama .
WANAJESHI WAUWAWA MAREKANI